Skip to main content
  • ENG
  • SWA
JFG-General Enterprises
  • NYUMBANI
  • HUDUMA ZETU
  • CATALOGUE

Browse

  • All

Je,  Unahitaji Kusajili


1⃣ JINA LA BIASHARA.


2⃣ KAMPUNI na


3⃣ ALAMA ZA HUDUMA AU BIDHAA (LANDMARKS, LOGO). Kupitia BRELA ORS?


KAMA ni NDIO, Endelea Kusoma hapa chini.


Tunatoa Usaidizi katika masuala hayo yote! Kukushauri, Kuandaa documents zote na usajili wote kwa Ujumla.


Ukiwa na uhitaji huo, tuna njia 2 za kukusaidia.


1. Tumeandaa kitabu maalumu ambacho kinatoa Mwongozo wa Namna ya Kufanya Usajili, Faida zake na maelekezo yote yanahusiana na Usajili kupitia BRELA.


Kitabu hiki kina thamani ya zaidi 15, 000/=LAKINI ili kukusaidia Leo utakipata kwa Tsh 4999/= pekee okoa 10K+


Kukipata Kitabu, Tuma Tsh 4, 999/= kwenda LIP NO 5776586 yenye Jina la Joshua Golyama. Kisha tutumie uthibitisho whatsApp kwa no +255 764 257 495 na utatumiwa kitabu chako ndani ya Dk moja tu.

2. Tunatoa huduma ya usaidizi w Usajili wa JINA LA BIASHARA, Kampuni na LOGO kwa gharama nafuu.


Tunaadaa MEMARTS na document zote kwa wale wanaotaka Kusajili KAMPUNI.


TUNAPATIKANA MOROGORO MJINI, lakini tunahudumia wateja wanaotoka maeneo yote hapa Nchini Tanzania.


Wasiliana nasi kupitia +255, 764 257 495

KARIBU SANA.

  • CATALOGUE
BUSINESS NAME AND COMPANY REGISTRATION
BUSINESS NAME AND COMPANY REGISTRATION

Cart

Cart is empty.

Created with Mozello - the world's easiest to use website builder.

Create your website or online store with Mozello

Quickly, easily, without programming.

Report abuse Learn more